Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Coastal Union

Leo saa 10 jioni kikosi kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya NBC.

Weka utabiri wako wa kikosi ambacho unaamini kocha mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ atakipanga.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER