Highlights: Tazama mabao yote ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal

Tumefanikiwa kupata kushindi mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Tazama hapa jinsi mabao yalivyofungwa pamoja na baadhi ya matukio yaliyotokea.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER