read
news & Articles

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Azam
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani na

Timu yakutana na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi
Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana

Yussif Basigi Kocha mpya Simba Queens
Timu yetu ya Simba Queens kuanzia sasa itakuwa chini ya Kocha Mkuu, Yussif Basigi ambaye anachukua nafasi iliyoachwa na Juma Mgunda aliyemaliza mkataba wake. Basigi

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
KIkosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wetu

Tumetinga hatua ya makundi Shirikisho kibabe
Tumefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahli Tripoli
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly Tripoli kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.