Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly Tripoli kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha Fadlu amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo wa mkondo wa kwanza kule Libya.
Kocha Fadlu amemuanzisha kiungo mshambuliaji Kibu Denis ambaye amechukua nafasi ya Edwin Balua aliyopo benchi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Abdulrazack Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Deborah Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (26).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Fabrice Ngoma (6), Awesu Awesu (23), Augustine Okajepha (25), Steve Mukwala (11), Edwin Balua (37).