read
news & Articles

Simba kambini kuivutia kasi Mtibwa
Baada ya kumaliza mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, hatimaye kikosi chetu kimeingia kambini leo kujiandaa na mchezo wa Ligi

Onyango autaka ubingwa VPL, azungumzia Robo Fainali Afrika
Mlinzi wa kati Joash Onyango ameweka wazi kuwa kitu pekee kilichopo vichwani mwa wachezaji kwa sasa ni kutetea taji la Ligi Kuu ya Vodacom na

Gomez: Macho yote sasa Ligi Kuu
Muda mfupi baada ya timu kurejea nchini kutoka Misri ilipokuwa na mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana dhidi

Wametufunga lakini ‘shughuli’ wameiona
Pamoja na kupoteza mchezo wa leo kwa bao moja dhidi ya Al Ahly, wachezaji wetu wamepambana muda wote na kuonyesha upinzani mkubwa. Mchezo huo ulikuwa

Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Al Ahly, Nyoni kuanza
Mshambuliaji kinara Medie Kagere ataongoza mashambulizi kwenye mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahly

Gomez: Tunataka kuonyesha tulistahili kuwa vinara
Licha ya kukiri mchezo wa kesho ambao ni wa mwisho katika hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu, Kocha Mkuu,
