read
news & Articles

Zimebaki pointi mbili tu tukae ‘mahala petu’
Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya Mwadui FC katika Uwanja wa CCM Kambarage umetufanya kubakisha alama mbili kabla ya kurejea kileleni mwa msimamo wa

Gomez awabadilishia gia angani Mwadui, Luis aanzia benchi Chikwende ndani
Kocha Mkuu, Didier Gomez amefanya mabadiliko kidogo kwenye kikosi cha kwanza kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui FC utakaofanyika Uwanja wa

Simba kuanza kuzisaka pointi za Kanda ya Ziwa kwa Mwadui Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga katika kuzisaka alama tisa za Kanda ya Ziwa kwa kuikabili Mwadui

Simba yapiga tizi Kirumba kabla ya kuifuata Mwadui
Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kabla ya kuanza safari ya kuelekea Shinyanga kuikabili Mwadui FC. Mchezo

Simba yawasili salama jijini Mwanza
Kikosi kimetua salama jijini Mwanza tayari kwa mechi tatu za Kanda ya Ziwa ambazo ni Mwadui FC, Kagera Sugar na Gwambina FC. Baada ya kufika

Simba kutua Kanda ya Ziwa na nyota 28
Kikosi chetu kitaondoka leo jioni kwa ndege kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya mechi tatu za Ligi Kuu ya Vodacom kikiwa na
