read
news & Articles

Alichosema Kapombe baada ya kuwasili Algeria
Baada ya kuwasili salama nchini Algeria mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesema wachezaji wapo tayari kufuata maelekezo ya walimu kwenye mazoezi ili kufanya vizuri katika

Kikosi cha Wachezaji 22 kitakachosafiri kuelekea Algeria
Kikosi chetu kitaondoka kesho Alfajiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wetu wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa

Timu yaanza mazoezi kujiandaa na Constantine
Kikosi chetu leo kimeanza mazoezi rasmi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya Algeria

Timu kurejea mazoezini Jumamosi
Baada ya ushindi wa bao moja tuliopata jana dhidi ya Bravo FC kutoka Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wachezaji wamepewa mapumziko ya

Tumeanza kwa ushindi Kombe la Shirikisho Afrika
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Bravo Do Marquis kutoka Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi Bravo Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Bravos Do Marquis katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya
