read
news & Articles

Miquissone aipeleka Simba Fainali ASFC kibabe
Kikosi chetu kimeingia Fainali ya mlMichuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Azam FC katika

Taddeo, Aishi warejea kikosini Bocco kuongoza mashambulizi
Mlinda mlango namba moja, Aishi Manula na kiungo Taddeo Lwanga wamerejea kikosini na wanaanza kwenye mchezo wetu wa leo wa Nusu Fainali ya Azam Sports

Ije mvua, lije jua hatoki mtu Majimaji leo
Kikosi chetu leo kinashuka dimbani kucheza mechi ya nusu fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa

Gomes analitaka taji la FA, aizungumzia Azam
Kocha Mkuu Didier Gomes, ameweka wazi kuwa mchezo wetu wa kesho wa Nusu Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Azam

Mzamiru atoa neno kuelekea mchezo dhidi ya Azam FC
Kiungo Mzamiru Yassin amekiri kuwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini tutashinda na

Simba yafanya mazoezi kuweka miili sawa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Beroya hapa Songea kwa ajili ya kuweka miili sawa baada ya safari ndefu.