read
news & Articles

Simba yapiga bonge la ‘Come Back’ yavunja mwiko Majaliwa Stadium
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa ‘Come Back’ wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC na kuvunja mwiko wa kushindwa kupata ushindi kwenye Uwanja wa

Kagere, Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Namungo
Kocha Didier Gomes amewaanzisha washambuliaji wawili Medie Kagere na Chris Mugalu katika mchezo dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Majaliwa leo saa 10 jioni. Mara

Ni mwendo wa kusaka pointi tatu kwa Namungo leo
Kikosi chetu leo kitashuka dimbani kuendelea kusaka pointi tatu muhimu wakati tukikutana na Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaopigwa

Simba yapiga mazoezi ya lala salama kuivaa Namungo
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni kwenye Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Namungo FC. Katika mazoezi ya leo

Tuko tayari kuikabili Namungo Kesho
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC utakaopigwa katika Uwanja wa

Simba yaifuata Namungo Ruangwa
Kikosi chetu kimeondoka leo alfajiri kuelekea Mtwara kwa ndege kabla ya kwenda Lindi kuifuata Namungo FC kikiwa na wachezaji 20 tayari kwa mchezo wa ligi
