read
news & Articles

Gomes awataja Mo, Barbara, wachezaji ubingwa VPL
Kocha Mkuu Didier Gomes, amemshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji (Mo) na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kwa ushirikiano waliompa

Rasmi Simba Bingwa VPL 2020/21
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata leo dhidi ya Coastal Union, umetufanya kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu 2020/21 kwa mara ya

Gomes afanya Mabadiliko kikosi cha kuikabili Coastal
Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko ya wachezaji watano kwenye kikosi cha kwanza ambacho kitashuka dimbani kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Uwanja

Pointi moja tu tuchukue ubingwa wa VPL leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ambao tukipata hata sare tutatangazwa

Matola: Hatutaichukulia poa Coastal
Kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu, Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema hatutaidharau Coastal Union kutokana na kutokuwa kwenye nafasi katika msimamo. Matola amesema tunahitaji

Simba yaanza maandalizi kuivaa Coastal
Baada ya mapumziko ya siku moja kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi kwenye Viwanja vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu