read
news & Articles

Tumeshindwa kutinga fainali ya CRDB Federation
Mchezo wetu wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 3-1 na kushindwa kutinga fainali. Jonathan

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars
Leo saa 9:30 jioni tutashuka dimbani kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup katika mtanange utakaopigwa Uwanja wa Tanzanite

Saba waitwa Taifa Stars
Nyota wetu saba wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kirafiki za Kimataifa pamoja na

Fadlu, Mukwala wang’ara tuzo za NBCPL Mwezi Mei
Kocha Mkuu Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi Mei. Fadlu amewapiku Miloud Hamdi wa Yanga na Rachid Toussi wa

Matola: Tunaitaka Fainali ya CRDB Federation Cup
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa pamoja na ubora walionao Singida Black Stars tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda mchezo wa kesho na kutinga fainali ya

Timu yawasili salama Arusha
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Arusha tayari kwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa Jumamosi
