read
news & Articles

Ni mechi ya heshima Chamazi Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa kuweka heshima wa Ligi Kuu ya Vodacom

Simba yazitaka pointi tatu za Azam Kesho
Pamoja na kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara lakini tunahitaji kushinda mechi zetu zote mbili zilizobaki ikiwepo ya kesho dhidi ya Azam

Simba yafanya mazoezi ya mwisho kuivaa Azam kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja

Simba Queens yakabidhiwa kombe lake
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, imekabidhiwa taji lake la Ubingwa wa Ligi (Serengeti Lite Women Primier League) baada ya kumalizika mchezo maalumu dhidi

Gomes awataja Mo, Barbara, wachezaji ubingwa VPL
Kocha Mkuu Didier Gomes, amemshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji (Mo) na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kwa ushirikiano waliompa

Rasmi Simba Bingwa VPL 2020/21
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata leo dhidi ya Coastal Union, umetufanya kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu 2020/21 kwa mara ya
