read
news & Articles

Simba kimataifa zaidi, yazindua App
Klabu yetu leo imezindua rasmi App ambayo itarahisisha wanachama, wapenzi na mashabiki kupata taarifa za moja kwa moja kuhusu kila kitu kinachoendelea ndani ya timu.

Simba kujipima tena leo nchini Morocco
Kikosi chetu leo jioni kitacheza mchezo wa pili wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Olimpique Club De Khouribga ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea

Simba yatoa 12 timu za taifa, watatu mkopo
Jumla ya wachezaji 12 wa timu ya Simba wameitwa katika timu mbalimbali za taifa barani Afrika kwa ajili ya michuano ya kuwania kufuzu kwa mashindano

Simba Queens yaenda Kenya kushiriki michuano ya CAF
Kikosi cha timu yetu ya Wanawake Simba Queens, kimeondoka alfajiri kuelekea nchini Kenya kikiwa na wachezaji 22 tayari kushiriki michuano ya CAF Women Champions Ukanda

Ipo siku Simba Day itafanyika nje ya Tanzania!!!
Na Ezekiel Kamwaga NIMEMALIZA kuzungumza kwa simu na mwandishi kutoka Malawi, Brighton Kanyama, na ameniuliza jambo moja tu; Simba Day ni lini? Kwa maelezo yake

Simba yarudi gym kutafuta stamina
Kikosi chetu leo asubuhi kimefanya mazoezi gym kuendelea kutafuta stamina kabla ya kuanza mikiki mikiki ya msimu mpya wa ligi 2021/22. Baada ya kikosi kutua
