read
news & Articles

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien
Kocha Mkuu Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu kutokana na

VIDEO: Ahmed asimulia miaka mitatu yakuwa msemaji wa Simba
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema haikuwa rahisi kuwa msemaji kwa miaka mitatu kwakuwa timu yetu imebeba mioyo ya watu wengi ndani

Timu yafanya mazoezini ya kwanza Tunisia
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya kwanza hapa Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakaopigwa

Timu yawasili salama Tunisia
Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Tunis nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien

Simba Queens yaishushia kipigo kizito Alliance Girls
Simba Queens imeendelea kuthibitisha kuwa imedhamiria kwa dhati kutetea taji la ligi ya Wanawake msimu 2024/25 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi

Mo Cola yaja na Onja na Ushinde
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Mohamed Interprises Company Limited (Metl) kupitia kinywaji chake cha Mo Cola imekuja na kampeni ya ‘Onja na Ushinde’ ambayo
