read
news & Articles

TAARIFA KWA UMMA
Klabu ya Simba imeridhia ombi la aliyekuwa Kocha Mkuu, Didier Gomes da Rosa la kuachana na Simba kuanzia leo tarehe 26.10.2021 Baada ya tathmini na

Simba yaingia kambini kujiandaa na Polisi Tanzania
Kikosi chetu kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Jumatano katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja

Kauli ya Kocha Hitimana baada ya matokeo ya jana
Kocha msaidizi Hitimana Thierry ameweka wazi kuwa tulipaswa kumaliza mchezo wa jana kipindi cha kwanza baada ya kupoteza nafasi kadhaa za kufunga. Hitimana amesema nafasi

Simba yaangukia Shirikisho CAF
Kupoteza kwa mabao 3-1 nyumbani dhidi ya Jwaneng Galaxy kumetufanya kutolewa katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo tutashiriki Kombe la Shirikisho. Matokeo hayo

Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Galaxy
Nahodha John Bocco amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa leo saa 10 jioni

Tuko tayari kumalizia tulipoishia Botswana
Leo jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kikosi chetu kitashuka dimbani kuikabili Jwaneng Galaxy kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mchezo wa leo