read
news & Articles

Gomez: Mashabiki wa Simba kiboko
Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomez, amesema katika nchi zote alizofundisha soka barani Afrika, hajawahi kukutana na washabiki wanaofanana na Wekundu wa Msimbazi. Akizungumza jijini

Hitimana kocha mpya Simba
Klabu ya Simba imeimarisha benchi lake la ufundi kwa kumteua Thierry Hitimana (42), kuwa kocha msaidizi wa klabu. Thierry ni mmoja wa walimu wanaoheshimika nchini

Manula, Zimbwe, Banda, Mzamiru warejea kikosini
Nyota wetu sita waliokuwa kwenye timu za taifa wamerejea kikosini na moja kwa moja wamejiunga na wenzao kambini jijini Arusha. Wachezaji hao ni mlinda mlango

Taddeo arejea mazoezini
Baada ya kupewa mapumziko ya wiki ya tatu kutokana na kuwa majeruhi, Kiungo Taddeo Lwanga leo amerejea mazoezini rasmi pamoja na wenzake. Taddeo kwa sasa

Simba Queens yamaliza ya nne Cecafa Women’s
Kikosi chetu cha timu ya Wanawake ya Simba Queens kimeshika nafasi ya nne baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Lady Doves ya

Fetty Densa kuiongoza Simba Queens kuikabili Lady Doves
Mlinzi wa kushoto, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’ leo atakiongoza kikosi cha Simba Queens katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Caf Women’s
