read
news & Articles

YALIYOJIRI MKUTANO MKUU WA SIMBA 2021
Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu yetu umefanyika leo Novemba 21 katika Ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es

Kauli ya Pablo baada ya ushindi dhidi ya Ruvu
Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting, Kocha Mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa pointi tatu tulizopata ni muhimu na zitaongeza hali

Pablo aanza na ushindi
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameanza na ushindi katika mechi yake ya kwanza baada ya kukiwezesha kikosi chetu kutoka kifua mbele kwa mabao 3-1 dhidi ya

Kagere, Kibu kuongoza mashambulizi dhidi ya Ruvu Shooting
Washambuliaji Medie Kagere na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Tunazitaka pointi tatu za Ruvu Shooting
Kikosi leo chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunategemea utakuwa mgumu

Pablo: Tuko tayari kwa Ruvu Shooting
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa kesho