read
news & Articles
Simba yapiga mazoezi ya lala salama kuivaa Namungo
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni kwenye Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Namungo FC. Katika mazoezi ya leo
Tuko tayari kuikabili Namungo Kesho
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC utakaopigwa katika Uwanja wa
Simba yaifuata Namungo Ruangwa
Kikosi chetu kimeondoka leo alfajiri kuelekea Mtwara kwa ndege kabla ya kwenda Lindi kuifuata Namungo FC kikiwa na wachezaji 20 tayari kwa mchezo wa ligi
SportPesa yamwaga mamilioni Simba
Kampuni ya SportPesa imeipa Klabu ya Simba fedha taslimu Sh 50,000,000 ikiwa ni bonasi baada ya kufanikiwa kufika hatua ya Robo Fainali ya michuano ya
Simba yaifuata Azam Nusu Fainali ASFC
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo uliopigwa leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa umetufanya kutinga Nusu Fainali ya michuano ya
Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Dodoma Jiji Leo
Nahodha John Bocco amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Robo Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa