read
news & Articles

Sakho arejea mazoezini
Kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amerejea mazoezini pamoja na wachezaji wenzake baada ya kupona jeraha la mguu lililokuwa linamsumbua. Sakho alipata maumivu katika mchezo wa

Bocco MVP 2020/21
Nahodha John Bocco ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu (MVP) msimu wa 2020/21 katika hafla ya utoaji tuzo iliyofanyika Ukumbi wa Kimataifa wa

Zimbwe Jr ampiku Kapombe Tuzo Beki Bora 2020/21
Mlinzi wetu wa kushoto Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameshinda Tuzo ya Beki Bora wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 katika hafla inayoendelea katika Ukumbi wa

Manula Kipa Bora VPL, ASFC
Mlinda mlango wetu Aishi Manula ameibuka Kipa Bora wa Ligi Kuu na Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Msimu wa 2020/21. Hii inakuwa mara

Gomes Kocha Bora VPL 2020/21
Kocha Mkuu Didier Gomes, ameshinda Tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) 2021. Gomes amewashinda Francis

Simba yakabidhiwa mamilioni ya Ubingwa 2020/21
Timu yetu imekabidhiwa Sh milioni 100 baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 katika usiku wa Tuzo za Shirikisho la Soka
