read
news & Articles
Simba kuwaonyesha Ruvu Shooting kilichomnyoa Namungo, Dilunga kulianzisha
Kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga, lea ataanza kwenye kikosi cha kwanza kilichopangwa kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom utakaopigwa Uwanja wa CCM
Bocco mchezaji bora mwezi Mei
Nahodha John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month) baada ya kupata
Ni mechi ya kisasi leo Kirumba
Leo jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba hapa jijini Mwanza kikiwa na kisasi cha kulipiza kwa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi
Kauli ya Matola kuelekea mchezo na Ruvu Shooting
Kocha Msaidizi Seleman Matola, amesema mechi ya kesho dhidi ya Ruvu Shooting itakuwa ngumu lakini tumejiandaa kushinda na kuondoka na alama zote tatu. Matola amesema
Simba yapiga tizi Nyamagana kuiwinda Ruvu Shooting
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba keshokutwa Alhamisi. Kikosi kiliwasili hapa jijini Mwanza
Simba yatua Mwanza kuivaa Ruvu Shooting
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Mwanza leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Alhamisi Juni