read
news & Articles

Bocco awapiku Manula, Zimbwe Jr tuzo za IDFA
Nahodha John Bocco ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2020 wa Mashabiki zilizotolewa na Chama cha Soka Wilaya ya Ilala (IDFA). Bocco amewashinda mlinda

Simba yajipima na Green Warriors
Kikosi chetu leo jioni kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi na Green Warriors katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena na kuibuka na ushindi wa

Bocco, Manula, Zimbwe Jr kuchuana tuzo za IDFA leo
Nyota wetu watatu wanawania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwaka wa Klabu, zilizoandaliwa na Chama cha Soka Wilaya ya Ilala (IDFA). Nyota waliongia

YALIYOJIRI MKUTANO MKUU WA SIMBA 2021
Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu yetu umefanyika leo Novemba 21 katika Ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es

Kauli ya Pablo baada ya ushindi dhidi ya Ruvu
Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting, Kocha Mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa pointi tatu tulizopata ni muhimu na zitaongeza hali

Pablo aanza na ushindi
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameanza na ushindi katika mechi yake ya kwanza baada ya kukiwezesha kikosi chetu kutoka kifua mbele kwa mabao 3-1 dhidi ya
