read
news & Articles

Hivi hapa viingilio Simba, Yanga
Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya mchezo wetu dhidi ya watani Yanga SC utakaopigwa Desemba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari uongozi umeweka hadharani viingilio.

Pablo: Malengo yetu yametimia
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema amefurahi timu kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwani ndiyo yalikuwa malengo yetu. Pablo amesema tuliingia kwenye

Tumetinga Makundi Shirikisho Afrika
Licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Red Arrows tumefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na uwino wa

Kagere, Morrison kuongoza mashambulizi dhidi ya Red Arrows
Mshambuliaji Medie Kagere na Bernard Morrison wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Uwanja

Tuko tayari kupeperusha bendera ya nchi kimataifa
Kikosi chetu kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa katika Uwanja wa Heroes hapa

Bwalya: Naipenda nchi yangu lakini Simba kwanza
Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya, amesema atajitoa kuhakikisha anaisaidia timu yetu kufanya vizuri dhidi ya Red Arrows kesho ili kuingia hatua ya makundi ya Kombe la
