read
news & Articles

Matola: Haikuwa kazi rahisi kuitoa JKT
Kocha Msaidizi, Seleman Matola, amesema mchezo wa hatua ya tatu ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) ulikuwa mgumu ila tunashukuru tumefanikiwa kushinda na kutinga 32

Wachezaji wote ni muhimu Simba
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, ameweka wazi kuwa kila mchezaji ana umuhimu sawa ndani ya kikosi na lengo lake ni kuhakikisha timu inapata ushindi kila

Tumetinga 32 Bora ASFC
Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umetufanya kuingia hatua ya 32 bora ya Michuano ya

Sakho kuongoza mashambulizi dhidi ya JKT
Baada ya kupona majeraha na kuwa fiti kiungo, mshambuliaji Pape Ousmane Sakho amepangwa kuongoza mashambulizi dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa hatua ya tatu

Simba Queens tayari kwa Ligi ya Wanawake
Timu yetu ya Simba Queens inaendelea na maandalizi kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Wanawake ya (Serengeti Lite Women’s Premier League) ambao utaanza Desemba 23.

Kauli ya Kocha Pablo kuelekea mechi dhidi ya JKT
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema mchezo wa kesho wa Azam Sports Federation Cup dhidi ya JKT Tanzania ni muhimu kwetu kupata ushindi sababu tuna malengo
