Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Mbeya City kesho

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni katika Uwanja wa Sokoine kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City.

Wachezaji wote waliosafiri wamefanya mazoezi hayo na hakuna yoyote ambaye tutamkosa kutokana na majeruhi au adhabu ya kadi.

Morali ya wachezaji ipo juu na kila mmoja amejitahidi kufanya vizuri mazoezini ili kesho apate nafasi ya kucheza.

Mchezo wetu utaanza saa 10 jioni katika uwanja huo huo wa Sokoine.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER