read
news & Articles
Henock Inonga ni Mwekundu
Mlinzi wa kati Henock Inonga Baka raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejiunga na kikosi chetu kutoka DC Motema Pembe. Baka maarufu Varane tayari
Sakho aanza kuonyesha yake Morocco
Baada ya kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho ameanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake katika kambi inayoendelea nchini Morocco. Licha ugeni kikosini Sakho ameonyesha
Simba yashusha mashine nyingine kutoka Malawi
Klabu yetu imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Malawi, Duncan Nyoni kutoka Timu ya Silver Strikers FC. Duncan 23, ambaye hutumia zaidi mguu wa
Simba kuanza hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeitaja Simba kuwa miongoni mwa timu 10 ambazo hazitaanza hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. CAF
Simba yaanzia Gym Morocco
Kikosi chetu leo kimeanza rasmi mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi 2021/22 hapa nchini Morocco huku wakianzia gym. Timu imewasili Morocco jana mchana
Simba yapaa kuelekea Morocco kwa ‘Pre Season’
Kikosi chetu kimeondoka nchini mchana huu kuelekea Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2021/22 (Pre Season) kikiwa na wachezaji 24. Kambi