read

news & Articles

Tunazitaka pointi tatu za Ruvu Shooting

Kikosi leo chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunategemea utakuwa mgumu

Pablo: Tuko tayari kwa Ruvu Shooting

Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa kesho

Taddeo Mchezaji Bora Uganda 2021

Kiungo wetu mkabaji Taddeo Lwanga amechaguliwa mchezaji bora wa Uganda kwa mwaka 2021 kutokana na ubora aliounyesha msimu ulipoita. Msimu uliopita Taddeo alicheza mechi nyingi

Simba kuifuata Ruvu Shooting leo

Kikosi chetu kitaondoka leo jioni kuelekea jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Novemba 19 Uwanja

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC