read
news & Articles

Kakolanya aanza kwa mara ya kwanza NBC
Mlinda mlango Beno Kakolanya ameanza kikosi cha kwanza katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Biashara United utakaopigiwa leo saa moja usiku

Opa kupaa Uturuki kufanya majaribio
Mshambuliaji wetu kinara wa Simba Queens, Opa Clement ataondoka leo usiku kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kufanya majaribio katika timu ya Kayserispor Girl. Majaribio

Tunarejea katika Ligi Kuu ya NBC
Baada ya ratiba ndefu ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi leo kikosi chetu kitacheza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi

Pablo: Tuna mechi ngumu dhidi ya Biashara kesho
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Biashara United utakaopigiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa mgumu

Kapombe Mchezaji Bora Februari
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amechaguliwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Kapombe amewapiku mlinzi

Timu yarejea nyumbani salama
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo mchana kutoka nchini Morocco baada ya majukumu ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi kukamilika.
