read
news & Articles

Pablo: Hatuna Presha na mchezo wa kesho
Licha kuwa na tofauti kubwa ya pointi kati yetu na vinara wa ligi kuelekea mchezo wa kesho wa Derby dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu Pablo

Timu yaendelea kujifua Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi kwenye

Manula: Tunazidi kukua katika Soka la Afrika
Mlinda mlango namba moja, Aishi Manula amefunguka kuwa kadiri muda unavyozidi kwenda tunaendelea kupata uzoefu wa kupambana na miamba ya soka barani Afrika kutokana na

Timu yarejea salama Dar
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka nchini Afrika Kusini baada ya kumaliza ratiba ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Timu yarejea salama Dar
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka nchini Afrika Kusini baada ya kumaliza ratiba ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Licha ya kutolewa Shirikisho Pablo awamwagia sifa wachezaji
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji kwa kujituma muda wote wa mchezo ingawa tumetolewa Kombe la Shirikisho Afrika na Orlando Pirates kwa mikwaju ya penati