read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal

Pablo: Hatukupata muda wa kutosha kujiandaa, tutapambana
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hatukupata muda mzuri wa kujiandaa na mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa

Pablo, Chama wang’ara tuzo za NBC Machi
Kocha Mkuu Pablo Franco na kiungo mshambuliaji Clatous Chama, wame wameng’ara katika Tuzo za Ligi Kuu ya NBC za mwezi Machi. Pablo amechaguliwa Kocha Bora

Kauli ya Kocha Pablo baada ya kupangwa na Orlando Shirikisho
Baada ya kukamilika kwa droo ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupangwa na Orlando Pirates ya Afrika Kusini Kocha Mkuu

Ni Orlando Pirates Robo Fainali Shirikisho
Droo ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali imekamilika na tumepangwa na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Katika droo hiyo iliyofanyika

Timu yafanya mazoezi asubuhi kuivutia kasi Coastal
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika uwanja wetu wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Alhamisi
