read

news & Articles

Simba Queens yaichakaza Mlandizi

Kikosi chetu cha Simba Queens kimeendelea kutoa dozi nene kwa kila timu inayokutana nayo kwenye Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada

Simba U20 yaipigisha kwata JKT

Timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 imeendelea kufanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuichapa JKT

Simba Queens kuweka rekodi 2022

Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma amesema lengo letu ni kuhakikisha tunatwaa taji la Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) kwa mara

Pablo: Tumekuwa na wiki ngumu

Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri tumekuwa na siku tisa ngumu ambazo tumecheza mechi tatu za ugenini zilizotufanya kusafiri umbali mrefu bila matokeo. Pablo amesema ratiba

Tumepoteza…

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja. Tulianza mchezo

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC