read
news & Articles

Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Mtibwa leo
Mshambuliaji nyota Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Uwanja wa Benjamin

Tunacheza mechi ya mwisho nyumbani leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa mwisho wa kufungia msimu tukiwa nyumbani. Baada

Wawa naye kuagwa kwa Mkapa kesho
Mlinzi wa Kimataifa kutoka Ivory Coast, Pascal Wawa ataagwa rasmi kesho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya miaka minne ya kutumikia kikosi chetu. Tutautumia

Matola: Mchezo dhidi ya Mtibwa utakuwa mgumu
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amebainisha kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mgumu kutokana na ‘wakata miwa’

Kwaheri ‘kitasa’ Pascal Wawa
Uongozi wa klabu umempa mkono wa kwa heri mlinzi wa kati Pascal Serge Wawa, raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu

Matola: Tulistahili kushinda
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema ushindi tuliopata dhidi KMC tulistahili kutokana na kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu. Matola amesema tulicheza vizuri muda wote