read
news & Articles
Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya ASEC leo
Kikosi chetu leo kitatupa karata yake ya kwanza katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi kwa kuikabili ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast
Karata ya kwanza ya Kombe la Shirikisho
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili ASEC Mimosas katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la
Bocco: Hatuna presha na ASEC
Pamoja na ubora na uzoefu wa wapinzani wetu ASEC Mimosas kwenye michuano ya Afrika Nahodha John Bocco amesema hatutaingia uwanjani kesho kwa presha wala kuwaogopa.
Pablo atoa neno kuelekea mechi dhidi ya ASEC
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema ana imani kuanzia sasa timu itaanza kufunga mabao mengi tukianza na mchezo wa kesho wa hatua ya makundi ya Kombe
Zungu mgeni rasmi mechi dhidi ya ASEC
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mussa Azan Zungu ndiye mgeni rasmi wa mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika
Simba kuendelea kutangaza Utalii Shirikisho Afrika
Klabu yetu itaendelea kutangaza utalii katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kama tulivyofanya msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa. Katika mechi zetu za