read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Big Bullets leo
Mshambualiaji Moses Phiri ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets utakaopigwa saa 10

Karata ya kwanza Ligi ya Mabingwa leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Taifa wa Bingu wa Mutharika hapa Malawi kuikabili Nyasa Big Bullets katika mchezo wa mkondo

Quuens yapangwa Kundi A Mabingwa Afrika
Timu yetu ya Simba Queens imepangwa kundi A katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo itafanyika nchini Morocco Oktoba 31 hadi Novemba 13. Queens

Timu yafanya mazoezi ya kwanza Malawi
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni katika Uwanja wa ABC Academy kujiandaa na mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big

Timu kuondoka kesho asubuhi kuifuata Big Bullets
Kikosi chetu kitaondoka kesho saa 12 asubuhi kuelekea Lilongwe Malawi tayari kwa mchezo wetu wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

Tumepata sare na KMC
Mchezo wetu wa tatu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi KMC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya mabao 2-2. Moses Phiri alitupatia