Timu kuondoka kesho asubuhi kuifuata Big Bullets

Kikosi chetu kitaondoka kesho saa 12 asubuhi kuelekea Lilongwe Malawi tayari kwa mchezo wetu wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets.

Kikosi kitaondoka na wachezaji 25 benchi la ufundi na baadhi ya viongozi kutoka Bodi ya Wakurugenzi.

Mchezo dhidi ya Big Bullets utapigwa saa tisa alasiri kwa saa za Malawi ambapo nyumbani itakuwa saa 10 jioni.

Malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda katika mchezo wa Jumamosi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri kwenye mechi ya marudiano.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER