read

news & Articles

Kwaheri ‘kitasa’ Pascal Wawa

Uongozi wa klabu umempa mkono wa kwa heri mlinzi wa kati Pascal Serge Wawa, raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu

Matola: Tulistahili kushinda

Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema ushindi tuliopata dhidi KMC tulistahili kutokana na kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu. Matola amesema tulicheza vizuri muda wote

Mashabiki wamuaga Bwalya kwa minoti

Mashabiki wa Simba wamemlaki kiungo mshambuliaji Rally Bwalya na kumtunza pesa baada ya mechi dhidi ya KMC ikiwa ni sehemu ya kumuaga rasmi ambapo hiyo

Tuna kazi na KMC kwa Mkapa leo

Baada ya ushindi wa mabao 3-0 tuliopata Alhamisi dhidi ya Mbeya City leo tunashuka tena katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili KMC katika mchezo wa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC