read
news & Articles

Tumechukua pointi tatu muhimu kwa Polisi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Ushirika

Kikosi kitaka chotuwakilisha dhidi ya Polisi leo
Kocha Mkuu Juma Mgunda, ataanza na washambuliaji wawili katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Uwanja wa

Leo tuko Ushirika Moshi kuikabili Polisi Tanzania
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Ushirika kuikabili Polisi Tanzania katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo wa

Uchaguzi Mkuu Januari 29
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Boniface Lihamwike ametangaza rasmi Januari 29, 2023 kuwa ndio itakuwa tarehe ya uchaguzi mkuu wa klabu. Lihamwike amesema Uchaguzi wa

Mgunda: Tupo Tayari Kupambana na Polisi kesho
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema kikosi kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Uwanja

Timu yatua salama Kilimanjaro
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Kilimanjaro tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Ushirika. Baada