read
news & Articles

Mgunda Kocha Bora NBCPL Novemba
Kocha wetu Juma Mgunda amechaguliwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi Novemba. Mgunda amewashinda Hans Van Pluijm wa Singida Big Stars na

Queens yaanza kwa kupoteza SLWPL
Kikosi chetu cha Simba Queens kimepoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) kwa mabao 2-1 dhidi ya

Queens kufungua pazia la SLWPL na JKT kesho
Timu yetu ya Simba Queens kesho itaanza kampeni ya kutetea taji la Ligi Kuu ya Wanawake Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) kwa kucheza na

Tumekamilisha Mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/23
Mchezo wetu dhidi ya Coastal Union uliopigwa Desemba 2, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga tulioibuka na ushindi wa mabao 3-0 ulikuwa wa 15

Timu yarejea kutoka Tanga, wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimerejea mchana kutoka jijini Tanga baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union uliofanyika Uwanja wa CCM Mkwakwani. Baada

Mgunda: Tuliwazidi uzoefu Coastal
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema Coastal ni timu nzuri na inacheza pamoja lakini tuliwazidi uzoefu na ndiyo sababu ya kufanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao