Timu yarejea kutoka Tanga, wachezaji wapewa mapumziko

Kikosi chetu kimerejea mchana kutoka jijini Tanga baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union uliofanyika Uwanja wa CCM Mkwakwani.

Baada ya kufika Dar es Salaam wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja.

Wachezaji watarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa hatua ya pili ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) utakaopigwa Jumamosi, Desemba 10 Uwanja wa Benjamin Mkapa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER