read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi mepesi Nyamagana
Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi mepesi ya utimamu wa mwili katika Uwanja wa Nyamagana baada ya kurejea kutoka mkoani Kagera. Kikosi kimefika jijini Mwanza

Queens, Yanga Princess hakuna mbabe
Timu yetu ya Simba Queens imetoka sare ya bao moja na watani wetu Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti

Kikosi cha Queens kitakachoshuka dimbani kuikabili Yanga Princess
Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi ya Wanawake (Serengeti

Mgunda: Ya Kagera yamepita tunaganga yajayo
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema mchezo dhidi ya Kagera Sugar umepita sasa tunajipanga kwa mechi iliyo mbele yetu. Mgunda amesema baada ya leo tuna siku

Tumegawana pointi Kaitaba
Kikosi chetu kimepata alama moja baada ya kupata sare ya kufungana bao moja dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa

Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Kagera leo
Kama kawaida Kocha Mkuu Juma Mgunda ameendelea kuamini katika washambuliaji wawili baada ya kuwapanga Nahodha John Bocco na Moses Phiri kuongoza mashambulizi katika mchezo