read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Tanzania Prisons utakaopigiwa kesho saa 12:15 jioni. Mazoezi

Mgunda: Tuko tayari kwa Prisons kesho
Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa

Timu yarejea Dar, Wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam kutoka Mwanza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC katika Uwanja wa CCM

Mgunda: Wachezaji walifuata maelekezo tuliyowapa
Kocha Mkuu Juma Mgunda ameweka wazi kuwa ushindi wa mabao 3-1 tuliopata dhidi ya KMC katika Uwanja wa CCM Kirumba umetokana na wachezaji kufuata maelekezo

Tumepata pointi tatu kwa KMC Kirumba
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba. Nahodha

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya KMC Leo
Nahodha John Bocco ataendelea kuongoza safu ya ushambuliaji katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigiwa leo saa 10 jioni