read
news & Articles

Timu kuelekea Zanzibar kesho kutetea taji lake
Kikosi cha wachezaji 30 kitaondoka kesho mchana kwa boti kuelekea Visiwani Zanzibar tayari kwa Michuano ya Mapinduzi. Tutaanza harakati za kutetea taji letu kwa

Chama, Bocco, Kapombe kuchuana mchezaji bora Desemba
Nyota watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Desemba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month).

Mgunda awapongeza wachezaji ushindi wa Prisons
Kocha Mkuu Juma Mgunda amewapongeza wachezaji kwa kuonyesha kiwango safi katika ushindi wa mabao 7-1 tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi

Bocco, Ntibazonkiza wapiga hat trick tukiichakaza Prisons ‘wiki’
Nahodha John Bocco na kiungo Said Ntibazonkiza wamefunga magoli matatu (hat trick) kila mmoja katika ushindi mnono wa mabao 7-1 tuliopata dhidi ya Tanzania

Ntibazonkiza kuanza dhidi ya Tanzania Prisons
Kiungo mpya mshambuliaji, Said Ntibazonkiza ameanza kikosi cha kwanza kitakachoshuka dimbani leo saa 12:15 jioni kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Tunafunga mwaka kwa Mkapa leo
Kikosi chetu leo kitashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao utakuwa wa mwisho kwa mwaka