read
news & Articles

Tumepata pointi tatu muhimu kwa Mkapa
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin

Mgunda, Chama wakabidhiwa tuzo za Desemba
Kocha Msaidizi Juma Mgunda na kiungo mshambuliaji Clatous Chama, wamekabidhiwa tuzo zao Ligi Kuu ya NBC za mwezi Desemba. Mgunda ameshinda tuzo hiyo kwa

Queens yafanya ‘mauaji’ Lindi
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Amani Queens katika mchezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s

Kikosi kitakachotuwakilisha leo dhidi ya Mbeya City
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kikosi kamili kilivyopangwa

Muhtasari: Mchezo wetu dhidi ya Mbeya City
Siku 18 zimepita tangu tulivyopata ushindi mnono wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wetu wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa

Kauli ya Mgunda kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City
Kocha Msaidizi Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa kesho saa moja usiku katika