read
news & Articles

Alichosema Robertinho kuelekea mchezo dhidi ya Singida Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars yamekamilika na wachezaji wapo

Phiri aahidi makubwa baada ya kurejea uwanjani
Mshambuliaji kinara, Moses Phiri ameahidi kurejesha makali yake na kuendelea kufunga mabao baada ya kupona majeraha. Phiri amesema ushindani wa namba umekuwa mkubwa baada ya

Zimbwe Jr aelezea Maandalizi ya mchezo dhidi ya Singida Big Stars
Nahodha msaidizi, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars utakaopigwa Ijumaa Uwanja wa Benjamin

Shikangwa apiga manne Queens ikiichakaza Alliance Girls
Mshambuliaji Jentrix Shikangwa amefunga mabao yote manne katika ushindi wa 4-0 tuliopata dhidi ya Alliance Girls uliopigwa Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. Jentrix alifunga mabao

Robertinho: Nimerudi na Hamasa kubwa
Kocha mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amerejea usiku wa kuamkia leo kutoka nchini Brazil akiwa na nguvu mpya pamoja na hamasa ya kazi. Robertinho amesema kwa

Timu kuingia kambini Kujiandaa na Singida Big Stars
Kikosi chetu leo kitaingia kambini baada ya mazoezi ya jioni kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars utakaopigiwa Uwanja