read

news & Articles

Tunacheza mechi ya mwisho nyumbani leo

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa mwisho wa kufungia msimu tukiwa nyumbani. Baada

Wawa naye kuagwa kwa Mkapa kesho

Mlinzi wa Kimataifa kutoka Ivory Coast, Pascal Wawa ataagwa rasmi kesho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya miaka minne ya kutumikia kikosi chetu. Tutautumia

Kwaheri ‘kitasa’ Pascal Wawa

Uongozi wa klabu umempa mkono wa kwa heri mlinzi wa kati Pascal Serge Wawa, raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu

Matola: Tulistahili kushinda

Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema ushindi tuliopata dhidi KMC tulistahili kutokana na kiwango kikubwa kilichoonyeshwa na wachezaji wetu. Matola amesema tulicheza vizuri muda wote

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC