read
news & Articles

Tumetinga Kibabe Robo Fainali Afrika, Chama apiga hat trick
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga Horoya FC mabao 7-0 katika mchezo uliopigwa uwanja

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Horoya Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Horoya kutoka Guinea katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Preview: Mchezo wetu dhidi ya Horoya
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Horoya kutoka Guinea katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Manula Mchezaji bora wa Mwaka BMT
Mlinda mlango, Aishi Manula amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika hafla ya tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Manula amewapiku walinzi Mohamed Hussein

Timu yafanya Mazoezi ya mwisho kwa Mkapa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Sakho aitwa timu ya Taifa ya Senegal
Kiungo mshambuliaji, Pape Sakho amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Senegal ‘Simba wa Terenga’ kitachocheza mechi mbili za kufuzu michuano