Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Horoya Leo

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Horoya kutoka Guinea katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kikosi kilichocheza mchezo wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar.

Robertinho amemuanzisha Kibu Denis akichukua nafasi ya Moses Phiri ambaye atatokea benchi.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12),  Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5),  Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Peter Banda (11), Habibu Kyombo (32), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Pape Sakho (10).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER