read
news & Articles

Timu yafika salama Morocco
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Morocco tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca

Baleke, Chama, Manula wachuana mchezaji bora Machi
Nyota watatu Jean Baleke, Clatous Chama na mlinda mlango Aishi Manula wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium

Kikosi chaanza safari kuelekea Morocco
Baada ya jana kushindwa kusafiri leo asubuhi kikosi chetu kimeanza safari ya kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kuanza safari ya kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya mchezo

Mo, Africarriers, waungana na Watanzania kuwamaliza Uganda Kesho
Rais wa heshima wa Klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amenunua tiketi 5000 kwa ajili ya mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo

Kapombe, Zimbwe Jr waongezwa Stars
Walinzi wetu wawili wa pembeni, Shomari Kapombe na Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ wameongezwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na