read

news & Articles

Matola: Tupo tayari kwa KMC Kesho

Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema kikosi kipo kamili tayari kwa mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa saa

Taarifa kwa Umma

Klabu yetu imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi Zoran Maki. Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mikataba ya

Timu yaingia Kambini kujiandaa na KMC

Kikosi chetu leo kimengia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa tatu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano Uwanja wa Benjamin Mkapa

Chama Mchezaji Bora wa Mashabiki Agosti

Kiungo mshambuliaji Clatous Chama, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Agosti (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Chama amewashinda viungo wenzake

Mangungu aongoza Wanasimba kumuaga Dk. Gembe

Mwenyekiti wa Klabu Upande wa Wanachama, Murtaza Mangungu amewaongoza wanachama, wapenzi na mashabiki kuaga mwili wa aliyekuwa daktari wa timu yetu Yassin Gembe aliyefariki dunia

Tumepoteza mbele ya Arta Solar 7

Mchezo wetu wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Arta Solar 7 kutoka Djibouti uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja. Mchezo huo

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC