read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Union
Leo saa 10 jioni tutashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuikabili Coastal Union katika mchezo wa 21 wa Ligi Kuu ya NBC.

Tupo Sheikh Amri Abeid kuikabili Coastal Leo
Leo saa 10 jioni tutashuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuikabili Coastal Union katika mchezo wa 21 wa Ligi Kuu ya NBC.

Alichosema Matola kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema pamoja na ubora walionao Coastal Union lakini tumejipanga kuhakikisha tunapambana ili kupata alama tatu kwenye mchezo wa kesho wa Ligi

Queens kukutana na JKT Samia Women’s Super Cup
Droo ya michuano ya Samia Women’s Super Cup imekamilika na kikosi chetu cha Simba Queens kimepangwa na JKT Queens katika mchezo wa nusu fainali utakaopigwa

VIDEO: Ahoua mawazo yake ni kuisaidia timu kwanza
Kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua amesema anapoingia uwanjani jambo la kwanza ni kuisaidia timu kupata ushindi kufunga au kuasisti hilo jambo la ziada kwake. Ahoua

VIDEO: Kocha Fadlu afunguka sare dhidi ya Azam
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema makosa mawili ya dakika ya mwanzo na ya mwisho yametugharimu na kupelekea sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam
