read

news & Articles

Mzamiru Mchezaji Bora wa Emirate Oktoba

Kiungo mkabaji Mzamiru Yassin, amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi Oktoba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Mzamiru amewashinda kiungo mshambuliaji, Augustine

Lukula afunguka siri ya ushindi

Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema kilichofanikisha ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Determine Girls ni kuwajenga kisaikolojia baada ya kucheza kwa presha kipindi cha kwanza.

Pambani Mchezaji bora wa mechi

Kiungo mshambuliaji Pambani Kuzoya amechaguliwa mchezaji bora wa mechi yetu dhidi ya Determine Girls kutoka Libya katika mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Queens yang’ara Morocco

Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Determine Girls kutoka Liberia katika mchezo wa pili wa Ligi ya

Timu yarejea mazoezini

Baada ya mapumziko ya siku mbili kikosi chetu kimefanya mazoezi leo katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC